Watch this new music video ALKA MBUMBA - UWEPO WAKO UWE NAMI (NIGHT OF EXODUS LIVE PERFORMANCE) UWEPO WAKO, by Alka Mbumba kutoka DRC Congo. Ilifanyika kwenye ibada Mkesha wa kumaliza Mwaka 2021 na kuukaribisha 2022, katika kanisa la The Reality of Christ- Sinza Mori Dar es Salaam.#RocWorshipperz#AlkaMbumba#UwepoWapo mp4 download
0 Comments