Hot Posts

6/recent/ticker-posts

Download mp4: Makasiriko - Naiboi (Red Version 2020)


Watch this new music video Makasiriko - Naiboi (Red Version 2020) #Naiboi #Makasiriko #Ngomma #Makasirikochallenge Performed by: NAIBOI Written by Naiboi/Bien Aime/Ben Soul/Vanso Dagama Video by DOLLZ Produced by : Ilogos Naiboi Worldwide Lyrics Usibishane na babu wewe Aaah Uuh yeah Ilogos music yeaah Nai Nai Kwani bosss Hii mwaka haitaki makasiriko A basi punguza alarm Hii mwaka haitaki makasiriko Sielewi mbona una jam Hii mwaka haitaki makasiriko Aya pewa kwa bill yangu Hii mwaka haitaki makasiriko Nausi tangazie watu Kuna sampuli flani ya watu boom Wanakuaga na roho chafu yeah A Wanajifanya mbele ya watu Eti marafiki kumbe ndani nima chatu A basi punguza feeling Vitu zingine hazinaga meaning Ya mvua unajua dalili A Nishaona mbele niko gangari Gangari eh Back stabber dem a back stabber Wanakukulia bila kutumia rubber (mafala) Itabidi leo tuwatoke ki design Fitina fitina na resign Nai Nai Hii mwaka haitaki makasiriko A basi punguza alarm Hii mwaka haitaki makasiriko Sielewi mbona una jam Hii mwaka haitaki makasiriko Aya pewa kwa bill yangu Hii mwaka haitaki makasiriko Nausi tangazie watu Hii mwaka si bishana mara mbili Vitu zingine uchokesha akili Hii mwaka nime chore ma pressure Hii mwaka ni ya ku sakanya pesa Kwenye radio zidi kunisema Side yangu ni volume na ongeza Ye Natuta zidi kuwa tesa A Naiboi worldwide tingisha meza Hii mwaka haitaki makasiriko A basi punguza alarm Hii mwaka haitaki makasiriko Sielewi mbona una jam Hii mwaka haitaki makasiriko Basi pewa kwa bill yangu Hii mwaka haitaki makasiriko Nausi tangazie watu Aaah Uuh yeah Ilogos music yeaah Nai Nai Kwani bosss Make Up by Glow_with_asande For Bookings contact : thenaiboi@gmail.com +254723723734 For Merchandise: https://ift.tt/36aTGM3 #SONDEKA #Naiboi Connect with Naiboi on ;- Instagram : https://ift.tt/2P90dyq Facebook : https://ift.tt/2NJLgVy Twitter : https://twitter.com/thenaiboi?lang=en Download and stream Naiboi's Music on ;- Apple Music : https://ift.tt/2Rdm4Jd Boom play : https://ift.tt/38tGPpM Spotify : https://ift.tt/2TJivfv Mdundo : https://ift.tt/3auOBSl mp4 download

Post a Comment

0 Comments