Hot Posts

6/recent/ticker-posts

Download mp4: #Theonlydelo#Onlyonedelo #KINGOFGENGETONE #Naiboi#Sondekachallenge Theonlydelo - Sondeka Freestyle


Watch this new music video #Theonlydelo#Onlyonedelo #KINGOFGENGETONE #Naiboi#Sondekachallenge Theonlydelo - Sondeka Freestyle COSMIC SHOT IT. FREESTYLE. VERSE 1 First thing first Epuka kisha Sondeka Kama siko stage wako stage niko mboka Kama siko mboka niko stage wanachoka Cheki juu chini manze watu wameoga Standing middle finger kwa watu wana ushoga Hiwezi keti hadi siku utaanza kujibonga Future ina figa mbele sitaki kusota Nina jenga lami ndio nisiumwe na manyoka Huwezi nipata shambani mdomo jo mogoka Kaschana funga soko heri jo ufungue duka Mistari kutoka shule sasa wanadai kukopa Theonlydelo Gold hao wengine labda copper Hawa watu ni wezi na haweniwezi Ha, Hawa ni wezi na hawatuwezi Kama game ni chafu nimepiga tizi miezi Sondeka na ma hanjam kula fiti umepata chizi. VERSE 2 Sitambui umama natambua my mama Kijana si wa juzi kijana jo si wa jana Ukileta ka panganga unakutwa na madaga Unacheza tu na pongi unapata ni ya ka mama Kula bata bana uone jogo akianza umama Ma fala wa kupandana Epuka jo laana King ndio kufika naogopwa hadi na waganga Leta zig zogo pigwa Ex ki wakanda Big up mid Zogo namba nane tuliwapanga Futa, Dimba manze jo Ah! Sio mimba Big up kwa wale madem wote nimekemba X, Y, Z manze nimesahau jina Fala apigwe Z ndio a T Gala apigwe D ndio a Shhh akimeza Mala kilalo ndio zako za kutesa Kiriku mdogo ndio sasa anawabeba mp4 download

Post a Comment

0 Comments